.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.
Innocent Bashungwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe
kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa
Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020. (Picha na Eliud
Rwechungura).

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri
ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe akitoa
maelekezo ya Uchaguzi baada ya kutoa fomu kwa Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Innocent Bashungwa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia
Chama cha Mapinduzi (CCM), Agosti 21, 2020



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...