Bi. Jasmin Awadhi (Mwenye kilemba katikati) akiongoza kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Bw. Joseph Mafuru Mkurugenzi mpya wa Jiji la Dodoma (kushoto Mwenye suti ya Blue) mbele ya Dkt. Binilith Mahenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mokoa wa Dodoma Agosti 21, 2020.

Bi. Mwajabu Ally Mbegu (wa kwanza kushoto mwenye kilemba chekundu) Mtaalam wa Mfumo wa Malipo Serikalini (MUSE) kutoka Hazina akitoa mafunzo kwa Mhe. Jaji (Mst.) Harold Reginald Nsekela (aliyekaa kwenye kiti), Kamishna wa Maadili kuhusu Mfumo wa MUSE, nyuma ya Kamishna ni waasibu wa Sekretarieti ya Maadili. Mafunzo hayo yamefanyika Makao Makuu ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma Agosti 21, 2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...