Mkurugenzi wa Mawasiliano na Jamii Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) (DAWASA) Neli Msuya akizungumza na viongozi wa Kamati na Jumuiya  za watumia maji za jijini Dar es Salaam wakati wa Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri  na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Miradi hii iko pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam(Off-Grid).
Meneja wa Usafi wa Mazingira kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) Eng. Charles Makoye  akitoa semina kuhusu namna ya uendeshaji wa miradi kwenye kata na mitaa wakati wa Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Meneja wa miradi ya Majisafi ya jamii kutoka DAWASAEng. Lilian Masilago akitoa mada kwa viongozi wa Kamati na Jumuiya  za watumia maji za jijini Dar es Salaam kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Kamati na Jumuiya  za watumia maji wakiuliza maswali pamoja na kuchangia mada wakati wa kikao Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri  na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Kamati na Jumuiya  za watumia maji wa Jijini Dar es  Salaam wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na maofisa wa DAWASA wakati wa kikao Kikao kazi cha kufamiana na kupeana mikakati kwenye uendeshaji wa miradi ya maji iliyokuwa manispaa/ halmashauri  na kupelekwa DAWASA kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...