Waandishi wa habari wameliomba jeshi la polisi kutambua uwepo wa waandishi maeneo mbalimbali katika kipindi cha uchaguzi wakati wa kutekeleza majukumu yao ili kuepuka migogoro baina ya waandishi na askari hao huku wamiliki wa vyombo vya habari wakishauriwa kutoa mavazi maalumu wakati wa uchaguzi mkuu .

Hayo yamebainishwa katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania uliyofanyika Mkoani Morogoro ili kuweka mahusiano mazuri ya ushirikiano wa kikazi baina ya waandishi wa habari na vyombo vya ulinzi na usalama nchini ambapo,Mwenyekiti wa taasisi hiyo Salome Kitomali ameshauli iwepo kamati maalumu itakayowaleta pamoja ili kuweza kutatua changamoto zitakazojitokeza katika kipindi cha uchaguzi na baada ya uchaguzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...