Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi Leo tarehe 2 Septemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi Leo tarehe 2 Septemba 2020. 
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa ajili ya ziara ya kikazi Leo tarehe 2 Septemba 2020. 
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akisisitiza jambo mbele ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kagera wakiongonzwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya ziara ya kikazi Leo tarehe 2 Septemba 2020.

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Kagera

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga Leo tarehe 2 Septemba 2020 amewasili Wilayani Bukoba katika mkoa wa Kagera ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Bukoba, Kyerwa, Karagwe na maeneo mengine mahususi yanayojishughulisha na kilimo hususani zao la Kahawa.

Lengo la ziara hiyo ni kufuatilia na kujionea hali ya malipo ya wakulima wa kahawa wanaodai, kukutana na viongozi wa vyma vya Ushirika na kufanya mikutano ya kuwasikiliza wananchi kuhusu changamoto zinazowakabili katika sekta ya kilimo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...