Mgombea Urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tabora kwenye mkutano wa kampeni leo Jumatatu Septemba 21, 2020. katika uwanja wa Uwanja wa Alli Hassan Mwinyi 

 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Tabora mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya kuwahutubia katika Mikutano ya Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020.

   

Chopa ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM ikipiga Salute kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...