KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar juu ya mwenendo wa uchaguzi ndani ya Chama pamoja na mipango mbalimbali ya kufanikisha uchaguzi wa dola unaotarajiwa kufanyika octoba 28/10/2020.
BAADHI ya Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakisikiliza kwa makini hotuba na nasaha za Katibu Mkuu wa CCM Dkt,Bashiru Ally Kakurwa wakati akizungumza na Baraza la Wazee huko Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi ndani ya Chama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...