Bondia Abdalah Pazi wa Pazi
maarufu Dullah Mbabe (kulia ) akipata vipimo mbele ya Madaktari kutoka
JWTZ ikiwa ni sehemu kuadhimisha miaka 59 ya uhuru Bondia huyo anataraji
kucheza pambano la Usiku wa Mabingwa Desemba 26 .
Bondia Ismail Galiatano
(kushoto) akipata vipimo kutoka kwa Koplo Felister Masawe JWTZ ikiwa ni
sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya uhuru Bondia huyo anataraji kucheza
pambano la Usiku wa Mabingwa Desemba 26 .
Baadhi ya Madaktari kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania Wakiwa Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam na
Mabondia wanaotaraji kucheza Desemba 26 katika Usiku wa Mabingwa
walipofika kupima afya ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru.
Daktari wa Macho kutoka
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Mteule Daraja la Pili Justine
Mgonja kushoto katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ikiwa
ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru.
Bondia wa Ngumi za Kulipwa
Tonny Rashid (kushoto ) aliyevaa kifaa cha kupimia macho akipata vipimo
mbele ya Madaktari kutoka JWTZ ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59
ya uhuru Bondia huyo anataraji kucheza pambano la Usiku wa Mabingwa
Desemba 26 .
*****************************************
WATAAALAM KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA IKIWA NI KUADHIMISHA SIKU YA UHURU WAMEWAPIMA AFYA MABONDIA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI WATAKAOSHIRIKI PAMBANO LA USIKU WA MABINGWA JIJINI DAR ES SALAAM.
MIONGONI MWA MABONDIA HAO NI
DULA MBABE NA TONNY RASHID WALIOFIKA UWANJA MNAZI MMOJA WAMETOA PONGEZI
KWA JWTZ KUTOKANA NA MCHANGO WAO KATIKA SEKTA YA AFYA…..INSERT DULA
MBABE BONDIA. insert Tonny rashid Bondia.
KWA UPANDE WAO MABONDIA ISSA
NAMPEPECHE NA ISMAIL GALIATANO WASEMA UPIMAJI HUU UNATOA CHACHU YA
WANANCHU KUFUATILIA MWENENDO WA AFYA ZAO…..INSERT ISMAIL GALIATANO.
NAYE MKUU WA ZOEZI HILO NA
MGANGA MKUU WA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO BRIGEDIA JENERALI DR FREDY
KIVAMBA AMESEMA WAMEJIPANGA KUHUDUMIA WAGONJWA WOTE WATAKAOJITOZA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...