Wananchi wa Kata ya Kiboshoa Kati, Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro leo Desemba 8,2020 wamepata haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuchagua Diwani wa Kata yao baada ya uchaguzi uliopangwa kufnayika Oktoba 28,2020  pamoja na uchaguzi wa Mbunge na Rais kuahirishwa. Picha mbalimbali zikionesha wananchi hao wakishiriki uchaguzi huo.

Msimamizi wa Kituo cha Uchaguzi akimpa kararatasi ya kupigia kura mwananchi aliyefika katika Kituo cha Kupigia Kura cha Central 1 kilichopo Kibosho Kati.
Wananchi wakisubiri kuingia kupiga kura kumchagua Diwani wao ambapo wagombea wawili wameshiriki uchaguzi huo. 


Mwananchi wa Kibosho Kati akipiga kura 
Karani Muongozaji akiongoza wapiga kura kwenda kupiga kura

Mwananchi akitoka kupiga kura.
Karani Muongozaji akiongoza wapigakura kwenda kupiga kura.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...