Bi. Regina Tarimo Afisa Uhusiano TAZARA akitoa maelezo kwa wananchi na kuonesha vipuri mbalimbali vya treni na mitambo mingine vinavyochongwa na karakana ya Shirika hilo wakati alipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yaliyomalizika leo kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.

Bi. Regina Tarimo Afisa Uhusiano TAZARA na Efransia Anthony Afisa Uhusiano Msaidizi TAZARA wakiendelea kutoa huduma kwa kutoa maelezo kwa wananchi na kuonesha vipuri mbalimbali vya treni na mitambo mingine vinavyochongwa na karakana ya Shirika hilo wakati walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yaliyomalizika leo kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...