Mkuu wa wilaya ya
Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua
duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa Haile Selassie Masaki
leo. Wengine ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Stella Msofe (wa pili
kushoto), Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani,
Brigita Stephen na Msimamizi wa duka, Emmanuel Makaki. Uzinduzi wa duka
hilo, utasogeza karibu huduma za kampuni hiyo kwa wateja wake.
Mkuu wa wilaya ya
Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na waandishi wa habari
wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa
Haile Selassie, Masaki jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa
Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen
Mkuu wa Mauzo wa
Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen akimkabidhi
zawadi Miriam Mushi kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi Miriam Deus kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...