Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe  akipata maelezo kutoka kwa Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA wakati alipotembelea katika banda la mamlaka hiyo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe  akiakioneshwa baadhi ya dawa wakati akipata  maelezo kutoka kwa Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Picha zikionesha Maltin Malima Afisa Uhusiano Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA na wafanyakazi wenzake wakiwa kwenye  banda hilo kwenye maonesho ya bidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...