Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mjasiriamali Minani Floribert kutoka Kikundi cha Enterprise FLO cha Burundi kwenye maonesho ya Saba ya Biashara ya Zanzibar yaliyozinduliwa leo Januari 06,2021 katika Viwanja vya Maisara Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia kumbukumbu za aina mbalimbali alipotembelea Banda la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kwenye uzinduzi wa Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar, leo Januari 06,2021 yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar leo
Januari 06,2021 katika Viwanja vya Maisara, ikiwa ni shamrashamra ya Miaka 57
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12
Januari 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa Maonesho ya Saba ya
Biashara Zanzibar, leo Januari 06,2021 yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara
Mjini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Lela Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Halid Salum, wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara leo Januari 06,2021 ikiwa ni shamrashamra ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...