Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Mhe. David Silinde (Katikati,) akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Joseph Nyamhanga. Wizara hiyo
iliwasilisha mada kuhusu Mchakato wa utungaji wa Sheria Ndogo za
Halmashauri.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Shria Ndogo, Mhe. Jason Rweikiza
akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini
Dodoma, kulia ni Makamu Mweyekiti wa Kamati, Mhe. Ridhiwani Kikwete.
Katika kikao hicho  Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa  (TAMISEMI)  iliwasilisha mada kuhusu Mchakato wa utungaji wa
Sheria Ndogo za Halmashauri.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo wakiwa katika kikaa cha
Kamati Bungeni Jijini Dodoma.Katika kikao hicho Ofisi ya Rais, Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa  (TAMISEMI) iliwasilisha mada kuhusu
Mchakato wa utungaji wa Sheria Ndogo za Halmashauri.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...