Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Francis
Masanja ( wa pili kutoka kushoto mbele) akiongoza mazoezi ya kutembea na
kukimbia yaliyowahusisha Wananchi na viongozi mbalimbali wa Halmashauri
ya Wilaya ya Magu akiwemo Mkuu wa Wilaya ya hiyo Mhe. Salum Kalli.
Kupitia matembezi hayo Mhe. Masanja amewahimiza wananchi waanzishe
mashamba ya miti na kupanda miti katika maeneo yao ili waweze kunufaika
na Sekta hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...