
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai wakati akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kulihutubia Bunge hilo la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride La Heshima
lililoandaliwa na Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasili katika
viwanja vya Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22
Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la 12 na kuelezea Muelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma
Wabunge wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi Bungeni mara baada ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kabla ya Wimbo
wa Taifa haujaanza kupigwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22
Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...