Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas (wapili kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Azam Sports Club, Ndg. Thabit Zakaria pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Watatu kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Kiongozi wa Msafara na Meneja Mauzo na Masoko, Ndg. Tunga Ally (wapili kulia), lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Meneja Mauzo na Masoko wa Azam Sports Club na Kiongozi wa Msafara, Ndg. Tunga Ally pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Azam Sports Club, Ndg. Thabit Zakaria (katikati) pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Meneja Mauzo na Masoko, Ndg. Tunga Ally, lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Meneja Mauzo na Masoko wa Azam Sports Club, Ndg. Tunga Ally (katikati) pale ugeni kutoka Azam Sports Club ulipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Habari na Mawasiliano, Ndg. Thabit Zakaria, lengo kuu likiwa ni kutambulisha jezi na kukuza Brand ya Azam

 

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...