 Mkurugenzi
 wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa 
(katikati) akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Kadi ya 
Uanachama wa Taasisi ya Taaluma ya Kibenki Tanzania (TIOB) uliofanyika 
leo Aprili 13, 2021 kwenye ofisi za Taasisi hiyo, zilizopo eneo la 
Kinondoni Morocco, Dar es salaam. Kadi hiyo pia inaweza kutumika kama 
Kadi ya Malipo ya kibenki ambayo inaweza kutumia kufanya malipo 
mbalimbali, kutoa fedha kwenye ATMs au kwa Wakala yeyote wa Benki ya 
CRDB. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi
 ya Taaluma ya Kibenki Tanzania (TIOB),Patrick Mususa  na kushoto ni 
Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya CRDB, Farid Seif.

Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya CRDB, Farid Seif. Mkurugenzi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...