Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Hayati Edward
Moringe Sokoine, Napono Sokoine kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay
Dar es salaam, Mei 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakizungumza na Mjane wa
Hayati Edward Moringe Sokoine, Napono Sokoine (wapili kulia) kwenye
makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay Dar es salaam, Mei 3, 2021. Wa pili
kulia ni Balozi, Joseph Sokoine na wa tatu kulia ni Namerok Sokoine.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...