Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo MKoani Kigoma Dkt. Florence Samizi kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J Nditiye leo Mei 14,2021.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango, akiinadi Ilani ya Utekelezaji ya Uchaguzi ya Chama
cha Mapinduzi CCM alipokua akihutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha
Mapinduzi CCM Jimbo la Muhambwe Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa
ajili ya Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 Mei 22021,
kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Atashasta J
Nditiye leo Mei 14,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...