Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Bibi Mary Maganga  kulia na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla, alipokutana nao Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bibi Mary Maganga wakati Bibi Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla wakati Bw. Abdalla  alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...