Kazi mbalimbali za ujenzi wa Meli mpya ya MV. Mwanza Hapa Kazi Tu ukiendelea kwa kasi kubwa katika Bandari ya Mwanza Kusini. Ujenzi wa Meli hiyo umefikia asilimia 74% na unatarajiwa kukamilika mapema mwakani.
Meli hii itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200
pamoja na mizigo tani 400, na inatarajiwa kufanya safari za kutoka
Mwanza-Bukoba, Musoma na nchini Uganda. Hapo jana Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitembelea kukagua ujenzi wa Meli hiyo
mkoani Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...