Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Shirika la Muungano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA), Haile Mariam Desalegne akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mabadiliko ya kimuundo ya kilimo cha Kiafrika katika bara zima la Africa na haswa Tanzania, katika mkutano uliofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Regency, Dar es salam. Mwenyekiti huyo yupo nchini ikiwa ni moja kati ya nchi saba anazozitembelea kwa lengo la kuhamasisha kilimo cha kisasa na bora. Wapili kulia ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Shirika la Muungano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA), Haile Mariam Desalegne akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mabadiliko ya kimuundo ya kilimo cha Kiafrika katika bara zima la Africa na haswa Tanzania, katika mkutano uliofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Regency, Dar es salam. 


Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Muungano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Regency, Dar es salam. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Shirika la Muungano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA), Haile Mariam Desalegne.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...