Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania
Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo
pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 15/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe baada ya kujitambulisha na mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 15/07/2021.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...