Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakja wakati, alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) , Nchini Morocco Julai 15,2021. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakjaa wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) kuona uwekezaji wa miundombinu ya mpira wa miguu uliofanywa katika eneo hilo Nchini Morocco Julai 15,2021.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Miundombinu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Hassan Kharbouch kuhusu uwekezaji wa miundombinu ya mchezo wa mpira wa miguu katika Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex)Nchini Morocco Julai 15,2021.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea jezi ya timu ya taifa ya Morocco kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco Faouzi Lakjaa wakati alipotembelea eneo la Mchezo wa Mpira wa Miguu la Mohammed wa VI (Mohammed VI Football Complex) kuona uwekezaji wa miundombinu ya mpira wa miguu uliofanywa katika eneo hilo Nchini Morocco Julai 15,2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...