Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (katikati) aongoza kikao cha Bodi ya
uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA
Africa Region) kilichofanyika leo Nairobi nchini Kenya. Kulia kwake ni
Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi.
Mjumbe wa Bodi ya uwekezaji
ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa
Region) na Mbunge wa Bunge la South Africa, Lechesa Tsenoli (katikati)
akichangia jambo wakati wa kikao cha Bodi hiyo ilipokaa leo Nairobi
nchini Kenya. Kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir
Ali Maulid na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi
Wajumbe wa Bodi ya uwekezaji
ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa
Region) wakiwa katika kikao cha Bodi hiyo kilichofanyika leo Nairobi
nchini Kenya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...