Afisa Rasilimali watu wa kiwanda cha Bia cha Serengeti Mwanza Alicia Rutta, akizungumza wa wafanyakazi wakati wa semina ya elimu kuhusu ugonjwa wa Corona, iliyotolewa  na Dk David Nathan kutoka hospitali ya kanda Bugando.

Daktari kutoka hospitali ya kanda ya Bugando David Nathan, akitoa elimu kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza juu ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya wafanyakazi hao kupatiwa chanjo.

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza wakifuatiia kwa makini elimu iliyokuwa inatolewa kiwandani hapo na Daktari kutoka hospitali ya Bugando juu ya ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la chanjo.

 Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...