Afisa wa  Habari wa Shirika la Nyumba (NHC),Domina Rwemanyila akitoa maelezo kwa mwananchi Bi Maryam Abubakar aliyetembelea banda na Nhc katika Maonesho ya 4 ya Teknolojia na Uwekezaji Sekta ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili - EPZ wilayani Geita jijini Mwanza.

Bi. Maryam alifika katika banda hilo kwa lengo la kutaka kufahamu utaratibu wa ununuzi wa nyumba 300 zinazojengwa na NHC katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ambazo zinauzwa

NHC inashiriki maonesho hayo ambapo wakazi wa Geita na maeneo jirani wameonekana kuhitaji nyumba hizo na kulipongeza Shirika hilo kwa kazi nzuri inazofanya ktk kutekeleza miradi mbalimbali nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...