Kijana wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Arusha,
Nathan Kimaro amemzawadia nakala ya kitabu cha aliyekuwa Rais wa awamu
ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi (MZEE RUKHSA), Msomi na Mwanajumui wa
Afrika (Pan-Africanist) Profesa Patrick Lumumba hapo jana jijini humo.
Prof Lumumba alikuwa mgeni mwalikwa kwenye mkutano wa Kimataifa
ulioandaliwa na Taasisi ya WAJIBU , uliofanyika kwa siku
mbili (Novemba 18-19,2021) jijini Arusha uliohusu masuala ya Uwazi, na
Uwajibikaji kwa mwaka 2021 (International Transparency and
Accountability Conference 2021 (ITAC 2021).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...