Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea cheti maalum cha pongezi kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake kutoka kwa Mkurugenzi  Mtendaji wa  Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu wakati Uongozi wa Shirika hilo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati mbele) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania "wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja  wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi  Mtendaji wa  Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu (katikati) na   Mkuu wa Miradi wa Dr.Aisa Muya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika  Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...