-Vodacom yaendelea kumwaga zawadi mbalimbali msimu huu wa sikukuu.
Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani,
Brigita Shirima (kushoto) akimkabidhi zawadi ya smart Tv mmoja kati ya
washindi wa wiki ya tatu wa promosheni ya " Show Love, Tule Shangwe”
Geofrey Nyakuka (kulia) mkazi wa Tabata, katikati ni Masta Shangwe,
jumla ya washindi sita walijishindia Tv za kisasa (Smart Tv) wengine
sita simujanja (smartphone) na washindi 50 walijishindia pesa taslimu.
Ili uweze kushinda zawadi katika kipindi hiki cha sikukuu, mteja wa
Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae
kwa kupiga *149 * 01#
Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani,
Brigita Shirima akizungumza na wakazi wa Tabata waliojitokeza kushuhudia
promosheni ya msimu wa sikukuu ya "Show Love,Tule Shangwe" ambapo
wateja wa Vodacom walijishindia zawadi mbalimbali wakiwa na wapendwa
wao.
Mshindi wa zawadi ya simujanja(smartphone), Felix
Deogratius (wapili kulia) akipokea zawadi yake ya simu kutoka kwa Mkuu
wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima kwenye
hafla ya makabidhiano iliyofanyika Tabata Muslim jijini Dar es Salaam,
Wapili kushoto ni mama mzazi wa Deogratius nae alijipatia zawadi ya
simujanja kutoka Vodacom. Promosheni hii inakuwezesha wewe na umpendae
kupata zawadi, na ili ushinde mteja wa Vodacom unatakiwa kununua bando
au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga *149 * 01#
Kapu la Masta Shangwe lililosheheni vyakula mbalimbali lilitolewa kwa washindi ambao walijibu maswali kupitia EFM Radio.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...