Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 25 desemba 2021 wameungana na waumini wa kanisa katoliki la mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kushiriki ibada ya misa takatifu ya   kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Krismasi) misa ilioongozwa na  Padri Julius Soteri. Desemba 25,2021.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...