Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akipokea tuzo ya ushindi wa kwanza katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata na Mkurugenzi wa Idara ya Uhasibu Bi. Dina Edward wakiwa wameshikilia tuzo ya ushindi wa kwanza iliyotolewa kwa TRA katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akipokea tuzo ya ushindi wa kwanza katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam.
Watumishi wa Idara ya Uhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata tuzo ya ushindi wa kwanza iliyotolewa kwa TRA katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam.
Watumishi wa Idara ya Uhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata tuzo ya ushindi wa kwanza iliyotolewa kwa TRA katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam.
Watumishi wa Idara ya Uhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata tuzo ya ushindi wa kwanza iliyotolewa kwa TRA katika kundi la Wakala wa Serikali kwenye Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu za Sekta za Umma kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na hafla ya utoaji tuzo hizo imefanyika mwishoni mwa wiki katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA TRA).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...