Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mstaafu, Kapteni John Chiligati mara baada ya kumaliza matembezi ya mshikamano kwenye kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayofanyika Kitaifa mkoani Mara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...