Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri Kwenye ukumbi
wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. Kulia ni Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washirki wa Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...