Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakisikiliza maelezo ya jinsi ‘Flow meter’ inavyofanya kazi kutoka kwa opareta wa kipimo hicho Benjamini Kisaki, wajumbe hao wametembelea na kukagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza na watendaji wa Mamlaka ya Bandari wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga.
Mkurugenzi wa Uhandisi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Baraka Mdima alikiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) maboresho mbalimbali yanayofanyika katika Bandari ya Tanga wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...