Diwani wa Kata ya Msisi, Mathayo Malilo akiishukuru MKURABITA kuwapelekea mradi huo wenye manufaa makubwa kwa wananchi kiuchumi. Ametoa shukrani hizo wakati wa mafunzo ya kujengewa uelewa kuhusu faida za urasimishaji wa mashamba yao.
Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini kutoka Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), akitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa



wananchi wa Kijiji cha Msisi ambao ardhi yao itarasimishwa na kupatiwa hati miliki.



Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano MKURABITA, Glory Mbilimonyo akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa na uwezo wananchi wa kijiji hicho kuhusu faida za urasimishaji ardhi.

Mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Msisi, akiuliza swali na kutoa shukrani kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutoa fedha za kuratibu mpango huo wa urasimishaji ardhi katika kijiji chao.
Wananchi wakiwa makini kusikiliza walipokuwa wakipatiwa mafunzo hayo.







PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Maofisa wa MKURABITA wakiendesha mafunzo hayohuku baadhi ya wanakijiji wakitoa shukrani kwa Rais Samia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...