Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero leo Machi 30, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero leo Machi 30, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...