
Rais wa Uganda Mhe. Yowel Museven (wa kwanza kushotoa aliyevalia kofia), akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah aliyefariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiweka shada la maua katika jeneza la aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Jacob Oulanyah katika Viwanja vya Kololo, Jijini Kampala Nchini Uganda. Jacob alifariki dunia Machi 20, 2022 Nchini Marekani, alipokuwa akipatiwa matibabu.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...