Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Katikati) akipokea hati ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano na Serikali na Msemaji wa benki hiyo Bw William Kallaghe (Kulia) ambae amestaafu utumishi wa benki hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Bw Godwini Semunyu (Kushoto). Bw Kallaghe amestaafu baada ya kuitumikia benki hiyo kwa miaka 18 akihudumu katika nafasi tofauti. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Aliyekuwa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano na Serikali na Msemaji wa benki hiyo Bw William Kallaghe (wa pili kulia) akikabidhi nyaraka za kiofisi kwa Mkuu wa Idara hiyo kwasasa Bw Godwini Semunyu (wa pili kushoto) baada ya Bw Kallaghe kustaafu utumishi wa benki hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 18 akihudumu katika nafasi tofauti.Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Benki hiyo Bi NeemaRose Singo (Kulia) na Meneja Chapa na Mawasiliano wa Benki ya NBC, David Raymond (Kushoto)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...