Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa
ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu
Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25, Mei 2022.
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifuatilia hotuba ya
Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya CPC Comrade Song Tao (hayupo
pichani) wakati wa ufunguzi wa masomo awamu ya tatu katika Shule ya
Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 25,
Mei 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...