Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni Tanzu ya Shirika la Petroli Tanzania GASPO - TPDC, Injinia. Bartazar Mroso kushoto) wakati akitembelea mabanda, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati, January Makamba, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia vipeperushi, wakati akitembelea mabanda, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, January Makamba, wakati alipotembalea banda la Mkoa wa Kigoma, kwenye maonesho ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma. Mei 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...