
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisamiliana Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Dkt. James Mwangi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watendaji waandamizi wa benki ya Equity, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Dkt. James Mwangi, Dkt. Joanne Korir Mkurugenzi wa Equity Foundation (wa tatu kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity TanzaniaIsabella Maganga (Kulia kwa Waziri Mkuu) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Joy Dibenedetto (wa tatu kulia), baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...