Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Robert Manyama (kushoto) akioneshwa marobota ya vitenge yaliyokamatwa na TRA yakiwa yameingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha. Kushoto ni Meneja wa Idara ya Ukaguzi wa Kodi kutoka TRA Bw. Deogratius Shilima.
Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Robert Manyama akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kukamatwa jumla ya marobota 507 ya vitenge yaliyoingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha.
Marobota ya vitenge yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yakiwa yameingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...