RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inakamilisha mchakato wa kuanza kwa Filamu ya TANZANIA THE ROYAL TOUR sehemu ya Pili ambayo itahusisha  vivutio vya utalii visivyomaarufu hususani vilivyoko mikoa ya Nyanda za Juu kusini mwa Nchi.

Samia ameyasema hayo wakati akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Njombe na kubainisha kuwa Filamu hiyo ambayo itaitwa THE HIDEN TANZANIA itajumuisha vivutio vyote vya utalii visivyomaarufu.

Ujio wa 'The Hiden Tanzania' unalenga kuendeleza mpango kazi wa kutangaza sekta ya utalii nchini Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...