Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya leo tarehe 11 Septemba 2022. Hapo kesho tarehe 12 Sepetemba 2022 Makamu wa Rais anatarajiwa kufungua Mkutano wa 36 wa Viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 12-14 Septemba 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...