
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akitowa mkono wa Pole kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kwa kufiwa na Mtoto wake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi, na (kulia kwa Mzee Mwinyi) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipofika nyumbani kwa marehemu kutowa mkono wa pole kwa familia leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...