MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu habari zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa kuna baadhi ya viongozi wa Mfuko huo wamejikopesha magari kinyume cha utaratibu kuwa sio za kweli.
Taarifa kwa Umma iliyotolewa na Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, Bw. James Mlowe na kusambazwa kwenye vyombo vya habari Septemba 23, 2022 imesema.
Taarifa kamili hii hapa chini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...