Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (wa pili kulia) Mhe.Balozi Simon Nyakoro Siro nchini Zimbabwe, Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule nchini Zambia na Mhe.Balozi Caroline Chipeta nchini Uholanzi mara walipofika Ikulu leo Kujitambulisha na kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi.[Picha na Ikulu] 22/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mhe.Balozi Simon Nyakoro Siro anaeiwakilisha Tanzania nchini Zimbabwe (aliyesimama) aliyeteuliwa hivi karibuni akiwa na Mabalozi wenzake Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule nchini Zambia na Mhe.Balozi Caroline Chipeta nchini Uholanzi walipofika Ikulu leo Kujitambulisha na kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi.[Picha na Ikulu] 22/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali (wa pili kushoto) Mhe.Balozi Simon Nyakoro Siro nchini Zimbabwe, Mhe.Balozi Lt.Jen.Mathew E.Mkingule nchini Zambia (kushoto) na Mhe.Balozi Caroline Chipeta nchini Uholanzi mara baada ya mazungumzo kupata maelekezo ya Kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi walipofika Ikulu leo Kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 22/09/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...