RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mgeni wake Rais wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa cha Nchini Iran Dr. Ali Abbasi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyoyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, na (kulia kwake) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Hossein Alvandi Bahineh.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvandi Bahineh, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa kutoka Nchini Iran, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022.( na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al – Mustafa kutoka Nchini Iran Dr.Ali Abbasi (mwenye kilemba) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-9-2022 na (kulia kwa Rais) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe.Hossein Alvandi Bahineh.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungunza na Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al- Mustafa kutoka Nchini Iran ukiongozwa na Rais wa Chuo hicho Dr.Ali Abbasi na (kulia kwa Rais) Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe,. Hossein Alvandi Bahineh, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungunza na Ujumbe wa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al -Mustafa kutoka Nchini Iran ukiongozwa na Rais wa Chuo hicho Dr.Ali Abbasi,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...